Watanzania wawili wajeruhiwa vibaya na kikundi cha watu wapatao 20. Hadi sasa haijajulikana kama ni Waalbania au ni vishoka wengine au Wagiriki. Tukio hili limetokea jana usiku wakati watanzania hawa wamepita karibu na watu hao waliowajeruhi ambao walidai wamevunja gari za watu kuiba. Inaonekana kuwa walifikiria wataita polisi ndipo walipowavamia na kuwajeruhi.
Ahsante - Mdau Ugiriki
Source: Michuzi Blog
Post a Comment