Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mtambo
maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia wa SMT Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akitoa maelezo kwenye
uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano
Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani
ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akizindua Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya
mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania
iliyopo Chukwani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi mzima wa
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania { TCRA } mara baara ya kuzindua
mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali
nchini mara baada ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
Watoto wa Skuli ya Maandalizi wa
Jang’ombe wakitoa burdani safi ya nyimbo ya Kyaso katika hafla ya
uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano
Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani
nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.
Post a Comment