Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS: WASANII WATAKAOGOMBEA UBUNGE 2015 KUPITIA CHADEMA HAWA HAPA ....

 
LADY JAY DEE
Wasanii maarufu wahusisha na CHADEMA kugombea Ubunge 2015
Tetesi ni kuwa:
- Judith Wambura (Lady Jay Dee) anaandaliwa jimbo moja Musoma,
- Selemani Msindi (Afande Sele) anaandaliwa jimbo la Morogoro Mjini
- Fredy Maliki (Mkoloni) anaandaliwa jimbo moja mkoani Tanga.
- Jacob Steven (JB) anaandaliwa jimbo moja la jijini Dar es salaam.

Inasemekani ni kutokana na ushawishi wa wabunge vijana Halima Mdee, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi na John Mnyika
Download Our App

2 comments

Dah,napata wasiwasi sana na siasa,vyama vingine vitawachukua wachezampira kama kaseja,mgosi,hata ambao sio watanzania wataombewa uraia kama okwi,niyonzima ili mradi tu wanawashabiki.mh yetu majicho.vp kuhusu mzee majuto,mzee ngurumo au wataenda TLP wamfuate mr.

Reply

Mh! Nafikiri ubunge ni uwezo wa mtu na imani wananchi waliyonayo kwake kuhusu kuwawakilisha bungeni na kutatua matatizo yao bila kujali anajulikana kwa vipi(popularity). Chadema msiwape tu watu ubunge kwakuwa ni wanafahamika ila wapimeni uwezo wao wa kujitawala wenyewe na kimaendeleo ya kifikra pia! Mtu anaetumia bangi na anaweza kuvua nguo mbele ya halaiki sidhani kama anaweza hata kufaa kuwa mpambe wa mbunge. Mawazo yangu tu hayo.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top