Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu
kwa kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki.
Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu,Clara Bayo.
on Sunday, September 22, 2013
Post a Comment