Katibu
Mkuu wa CUF Hamad Masoud (wakatikati) akizungumza na wandishi wa Habari
kuelezea mambo mbilimbali yanayoendea Nchini, kulia Mjumbe wa Baraza
Kuu la CUF Omar Ali Shehe na kushoto Mkurugenzi wa Haki za Binaadam
Salum Bimani,katika Ofisi ya CUF Vuga Mjini Unguja.
Mjumbe
wa Baraza Kuu la CUF Omar Ali Shehe wa kwanza kulia akielezea kitu kwa
wandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu uwandikishaji wa Daftari la
kudumu la wapiga Kura, katika Ofisi ya CUF Vuga Mjini Unguja.
Baadhi ya wandishi waliohudhuria katika Mkuta huo, katika Ofisi ya CUF Vuga Mjini Unguja sep 19.
(Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).
(Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).
Post a Comment