Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKUBWA HAYA .... ALIYEMTEKA NA KUMTESA DK. ULIMBOKA AHUKUMIWA KWENDA JELA MWEZI MMOJA AU KULIPA KIASI CHA FEDHA Tshs. 10,000/=

DK. ULIMBOKA BAADA YA KUOKOTWA AKIWA HOI KUTOKANA NA KUTESWA VIBAYA
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na kumtesa Dk Ulimboka na baadaye kuachiwa huru na mahakama na baadaye kufunguliwa kesi ya kulidanganya jeshi la polisi, ahukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela ama kulipa fine ya shilingi elfu moja (1000) baada ya kukiri kosa lake.

Hata hivyo mshtakiwa huyo alifanikiwa kulipa faini hiyo na hivyo kuachiwa huru baada ya mmoja wa waandishi wa habari kumopatia hiyo pesa.


SOURCE: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top