Wananchi wakiwa ndani ya Banda
la Wizara ya Ujenzi wakiuliza maswali mbalimbali jinsi wizara
hiyo inavyosimamia ujenzi wa barabara nchini. Maonesho ya Wiki ya Nenda
kwa Usalama Barabarani ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani Mwanza
na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel
Nchimbi yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi jijini humo
wanaingia kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba
kujifunza masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu ya
maadhimisho ya mwaka huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA
SISI SOTE.
Polisi
wa Kitego cha Elimu, Trafiki Mkoa wa Mwanza, Francis Muganyizi akitoa
elimu kwa wananchi jinsi madereva wanatakiwa wawe waangalifu kwa kujua
alama za barabarani wakati wanapokuwa wanaendesha gari barabarani.
Maonesho hayo ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani
humo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
yameingia
siku ya pili leo ambapo wananchi mbalimbali jijini humo wanaingia
kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba
jiji humo kujifunza masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli
mbinu ya maadhimisho ya mwaka huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA
MIMI, WEWE NA SISI SOTE.
Askari wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, CPL Ibrahim Luena akitoa elimu kwa wanachi juu ya buti za
usalama wakati wa kuzima moto. Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani Mwanza na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel
Nchimbi yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi jijini humo
wanaingia kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba
kujifunza masuala mbalimbali ya usalama barabarani.
Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA
NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE.
Askari wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, SGT Pili Kaku akisikiliza kwa makini maswali mbalimbali
ya mwananchi wa jijini Mwanza (kushoto) aliyetaka
kujua jinsi jeshi hilo linavyofanya kazi ya uzimaji moto pamoja na
uokoaji. Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo
yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani Mwanza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel
Nchimbi yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi jijini humo
wanaingia kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba
kujifunza masuala mbalimbali ya usalama barabarani.
Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA
NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE. Picha na Felix Mwagara, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO
CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Post a Comment