Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI AANZA KUISHAMBULIA SERIKALI JUU YA KUYAFUNGIA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA.

MARA baada ya habari za kufungiwa kwa magazeti ya Mtanzania na Mwananchi kutoka, Mhariri Mkuu Mtendaji wa New Habari Corporation, Absalom Kibanda aliong
ea na Mtangazaji wa kipindi cha Makutano Magic FM, Fina Mango na kuelezea namna alivyozipokea habari hizo na kukemea kitendo hicho alichodai ni cha kibabe na kuwa wahariri hawakupewa nafasi ya kujitetea.

Sikiliza mahojiano hayo hapa.

BOFYA HAPA ILI KUWEZA KUSIKILIZA.
CREDIT: MkutNO SHOW
 
       
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top