Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NAIBU WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA MTANDAO WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MKOA WA TANGA KUPITIA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA TREE OF HOPE




 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendegu (kushoto), wakionesha fomu maalumu aliyojaza waziri Mwalimu baada ya kujiandikisha jina la kuwa mjumbe namba moja wa kupinga ukati wa jinsia mkoa wa Tanga katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika Hoteli ya Mkonge leo.

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) akiandika jina lake katika fomu maalumu ya kuwa mjumbe namba moja katika mapambano ya kupinga ukatili wa jinsia mkoani Tanga. Wanao shuhudia kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendegu na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tree of Hope, Fortunata Manyereza.


 Mgeni rasmi wa uzinduzi wa Mtandao huo Waziri Ummy (kulia), akihutubia katika hafla hiyo.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tree of Hope, Fortunata Manyereza na Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini, Halima Dendegu.


 Wanawake wakiwa kwenye hafla hiyo.






 Wadau mablimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.


 Wasanii wakiigiza igizo la kupinga ukatili wa jinsia.


 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Usagara wakiwa kwenye hafla hiyo.


 Wajasiriamali wa mkoa wa Tanga wakionesha kazi zao katika hafla hiyo.

 Naibu Waziri Ummy (wa pili kushoto), akishiriki kucheza ngoma ya Mdumange na Wasanii wa Kikundi cha Mdumange cha Mzee Shauri kutoka Kata ya Mazinde wilayanai Korogwe mkoani Tanga.


 Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini, Halima Dendego akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Ummy.


 Waimbaji wa Kikundi cha Kwaya cha Redemption cha mkoani Tanga wakitoa burudani katika hafla hiyo.


 Mmoja wa wasanii akitoa burudani kwenye hafla hiyo.


 Nainu Waziri Ummy akimkabidhi Meneja Mipango wa Taasisi ya Tree of Hope, Goodluck Malilo (kulia), cheti cha ushiriki katika mafunzo ya elimu ya jinsia na ukatili wa kijinsia.

 Wadau wa ukatili wa jinsia mkoa wa Tanga, Diwani wa Viti maalumu (CCM), Mkoa wa Tanga Saida Gadafi (kushoto) na mjasiriamali Sophia Productions (kulia), wakifurahia jambo kwenye hafla hiyo.

 Wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia wakiwa kwenye hafla hiyo.


 Mjumbe wa Bodi wa Tree of Hope, Lilian Shija akimkabidhi mgeni rasmi Waziri Ummy Mwalimu zawadi maalumu aliyoandaliwa na shirika hilo.


Mkurugenzi wa Tasisi hiyo ya Tree of Hope, Fortunata Manyewreza akimkabidhi zawadi Naibu Waziri Ummy Mwalimu.
KAMANDA WA MATUKIO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top