Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA KIISLAMU

 



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza wakati alipolifungua Kongamo la Kimataifa la siku tatu kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna, na Dkt. Abdul Muneium Al-Hasni, Waziri wa Habari wa Falme ya Oman.
 Baadhi ya waalikwa katika Kongamo la Kimataifa kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki, litakalofanyika kwa muda siku tatu huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa katika Mjadala huo ulioanza jana.
 Baadhi ya waalikwa katika Kongamo la Kimataifa kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki,

litakalofanyika kwa muda siku tatu huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa katika Mjadala huo.

 Baadhi ya waalikwa katika Kongamo la Kimataifa kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki,

litakalofanyika kwa muda siku tatu huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa katika Mjadala huo.

 Baadhi ya Viongozi walioalikwa katikaKongamano la Kimataifa kuhusi Historia ya Ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akilifungua kwa kutoa hutuba yake,katika ukumbi wa Lagema Hotel Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa kulifungua Kongamano la Kimataifa la kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki, (wa pili kulia) Dkt. Abdul Muneium Al-Hasni,Waziri wa Habari wa Falme ya Oman,Dkt. Emeleddin Ihsan,Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu Duniani (OIC);na Dkt. Hamad Mohamed Al Dhawiani, Mwenyekiti  wa Mamlaka ya Kumbukumbu na Nyaraka ya  Falme ya Oman. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top