Mandhari ya Mji wa Morogoro eneo la Msamvu ambapo Warsha inafanyika Tanzania Horticultural Association
(TAHA) yenye makao makuu yake Arusha na ofisi ndogo Mkoa wa Morogoro leo imefanya Warsha ambayo imelenga Kuwaleta pamoja Wadau wa mazao ya horticulture hasa Wakulima (Wazalishaji) na Wanunuzi (Soko) ili kuainisha changamoto zinazowakabili na hatimaye kuwaunganisha pamoja ili waweze kufanya biashara pamoja.

Mgeni Rasmi George Mhina Afisa kilimo na mifugo wa wilaya ya Mvomero, Morogoro. akisema neno la ufunguzi kwa Warsha.
Madubi
Marcely afisa Mradi wa kuboresha uzalishaji na upatikanaji wa masoko
kwa mazao ya horticulture-Morogoro kutoka iWASH akinena na washiriki wa
Warsha hiyo. Kushoto ni Isaac Ndamanhyilu Mtaalamu wa masuala ya kilimo
cha mazao ya Horticulture kutoka TAHA na kulia ni George Mhina Afisa
kilimo na mifugo wa wilaya ya Mvomero, Morogoro.
Anani
Bansimbile Afisa mradi wa kuboresha uzalishaji na upatikanaji wa masoko
kwa mazao ya horticulture-Morogoro kutoka TAHA-Morogoro akichagiza neno
wakati wa mjadala kwenye Warsha iliyofanyika ukumbi wa Gwami Executive
Hotel, Morogoro.
Washiriki wa Warsha wakiwa ukimbini
Bi.
Cyrila Mlay, Afisa masoko kutoka TAHA akizungumzia juu umuhimu wa
masuala ya uzalishaji wa mazao ya horticulture kwa kuzingatia mahitaji
ya Masoko.
Post a Comment