|
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt.
Fenella Mukangara(Katikati) akiwa na wadau wa sanaa ya muziki na maonesho walipomtembelea
ofisini kwake leo, kushoto ni Mwalimu wa
Kuibua Vipaji kutoka asasi ya Talent Search and Empowerment Hamisi Kassimu a.k.a
Kaza buti (mwenye kofia) mingine ni Mkurugenzi wa Uyoga Boga Village Masoud
Kaftany a.k.a May Can 5.Wasanii hao
wanatarajia kwenda jijini Humburg Ujerumani kwa ajili ya kufanya onesho katika
mradi unaojulikana kwa jina la Nyumbani
Project ikiwa ni maaalum kwa ajili ya Watanzania wanaoishi Ujerumani.
Picha na Frank Shija
|
on Thursday, September 19, 2013
Post a Comment