Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha
Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki
furahi na mkurugenzi wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited Noel Lindsay Smith baada ya
kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo
Oktoba 18, 2013
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa
hadhara baada ya kufungua kiwanda cha
chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.Picha na Ikulu
Post a Comment