TUHUMA MPYA DHIDI YA UFOO SARO:
WAKATI
bado unasubiriwa uchunguzi kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi
wa habari wa ITV na radio one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa
ndugu wa marehemu Atery Mushi, ni kuwa marehemu mushi alikuwa ana ugomvi
wa muda mrefu kuhusu nyumba ambayo ilikuwa ikimilik
iwa na marehemu Mushi.
Ni
kuwa wakati marehemu Mushi akiwa nje ya nchi,Ufoo alifanikiwa
kubadilisha hati za umiliki wa nyumba hiyo iliyopo maeneo ya
Minjingu,manispaa ya Arusha kwa kushirikiana na mama yake.
Marehemu
Mushi aliporudi alijaribu kuwawekea vikao x3 kuhusu jambo hilo lakini
hakufanikiwa.Kutokana na dhahama hiyo ndipo marehemu Mushi alipoamua
kuandika maelezo juu ya mambo aliyofanyiwa na uamuzi aliouchukua.barua
alioindika aliiacha nyumbani kwa mama yake Ufoo.
kama
uchunguzi ukikamilika huenda police wakaiweka hadharani,pia kuna
uwezekano wa Ufoo kukabiliwa na mashtaka mara atakapotoka hosp. kutokana
na maelezo ya barua aliyoiandika Mushi kabla ya kujiua.
Marehemu Atery Mushi anatokea ktk kijiji cha Uru Maeda mkoani Kilgmanjaro...soure:ndugu wa karibu wa marehemu Mushi.
Source:Jamii Forums
Loading...
Post a Comment