MENU
HOME
Contact Us
Featured
KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light
Featured Posts
Loading...
Home
»
Unlabelled
»
UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA MABORESHO YA SEKTA YA SHERIA
UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA MABORESHO YA SEKTA YA SHERIA
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Farida Khalfan akieleza kwa waandishi wa habari (MAELEZO) mpango wa serikali wa kuongeza fursa za upatikanaji na utoaji wa haki kwa wote, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Frank Mvungi
Picha na Fatma Salum-Maelezo
Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Emmanuel Mayeji akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua za utekelezaji wa Program ya Maboresho ya Sekta ya Sheria, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam.
……………………………………………………………………………..
Wizara ya Katiba na Sheria inatekeleza na kuratibu Maboresho ya Sekta ya Sheria chini ya Programu ya Maboresho ya Sekta ya Sheria kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ili kuboresha na kuongeza kasi ya utoaji wa huduma za kisheria za usimamiaji na utoaji wa haki kwa wote na kwa wakati.
Lengo la programu hii ni kuboresha miundombinu iliyopo na kuongeza fursa za upatikanaji na utoaji haki kwa wananchi wote hasa wanyonge.
Maboresho haya yamejikita katika maeneo makubwa matatu moja ni kuongeza ufanisi na kusimamia ubora wa huduma ya kutoa haki kwa wote. Nia kubwa ya Serikali katika lengo hili ni kuboresha mazingira ya utendaji kazi ili kuongeza ufanisi wa kusimamia utoaji wa huduma za kisheria na kusimamia haki nchini, ili kutekeleza lengo hili kuna mikakati iliyopangwa ambayo ni kuboresha miundombinu ya majengo na mifumo ya kupokea na kutunza kumbukumbu na nyaraka za mashauri katika idara ya Mahakama hasa Mahakama Kuu.
Eneo lingine katika uboreshaji wa sekta ya sheria ni kuboresha ujuzi na kuimarisha taaluma ya Uanasheria nchini. Serikali ina lengo la kuboresha taaluma ya sheria inayotolewa kwa wanafunzi wa sheria hasa elimu ya vitendo ili kutoa haki sawa kwa wote na kwa wakati. Ili kutimiza lengo hili Serikali imejenga chuo cha Uanasheria kwa vitendo na kuweka miundombinu ya kudumu pamoja na vitendea kazi vitakavyosaidia ufundishaji wa vitendo kwa wanafunzi hao ikiwemo mahakama.
Serikali pia imeongeza wigo na kuboresha mazingira ya fursa za upatikanaji wa haki nchini kwa kuboresha mazingira ya upatikanaji wa haki kwa wananchi wote kwa kusogeza huduma za kisheria karibu na wanannchi kwa kujenga mahakama za mwanzo na kuanzisha chombo cha kuratibu huduma za msaada wa kisheria wa wananchi wasiokuwa na uwezo.
Aidha, tangu kuanzishwa kwa programu hii mafanikio mbalimbali yamepatikana yakiwemo, kutenganishwa kwa shughuli za upelelezi na zile za uendeshaji wa mashitaka, kuanzisha ofisi za Mkurugenzi wa Mashitaka Mikoani na Wilayani ambapo hadi sasa ofisi hizo zipo katika Mikoa kumi na tano na Wilaya kumi na saba.
Mfumo wa usafirishwaji wa mahabusu na wafungwa, Ukarabati na ujenzi wa Mahakama 10 katika ngazi mbalimbali na uanzishwaji na ujenzi wa Taasisi ya Mafunzo yaUanasheria kwa vitendo ni miongoni mwa mafanikio yaliyopatikana kupitia programu hii.
Mbali na mafanikio hayo kuna changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika utekelezaji wa programu zikiwemo ucheleweshwaji wa utolewaji wa fedha kwenye mfuko wa pamoja kwa upande wa wadau wa maendeleo na Serikali kushindwa kutimiza ahadi kwa wakati na kwa kiasi kilichokubaliwa.
Kwa kiasi kikubwa Serikali inajitahidi kuboresha miundombinu na mifumo yake ya kiutendaji kwa lengo la kutoa huduma bora za utoaji haki kwa wananchi wake. Pia wanachi wanahimizwa kutafuta haki zao pale wanapoona wanaonewa.
Imetolewa na:
Wizara ya Katiba na Sheria,
www.sheria.go.tz
on Wednesday, October 9, 2013
Post a Comment
CodeNirvana
«
Newer Posts
Older Posts
»
BLOG RAFIKI
Voice of America
Dunia yapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza
1 hour ago
CCM Blog
WADAU WENGI WATOA MAONI KWENYE KAMATI ZA BUNGE
1 hour ago
Mtanzania
Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi Afrika (MISSION 300) yamefikia 95%-Dk. Biteko
3 hours ago
MTAA KWA MTAA
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAKIMBIZA WAHUNI WOTE KWENYE MIRADI YA SERIKALI
5 hours ago
MICHUZI
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAKIMBIZA WAHUNI WOTE KWENYE MIRADI YA SERIKALI
5 hours ago
Global Publishers
Njanuari? Hakuna Hayo Mambo Ukibashiri Na Meridianbet
8 hours ago
JIACHIE
USIKU WA MAPENE LEO EPL, SERIE A, BUNDESLIGA KUWAKA MOTO
9 hours ago
Wazalendo 25 Blog
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
1 week ago
BUKOBAWADAU
Mushemba Foundation Yagusa Maisha ya Wengi Yatoa Misaada Kuelekea Krismasi
4 weeks ago
SUFIANIMAFOTO
BRAC MAENDELEO YAJIZATITI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA VIJANA NCHINI
3 months ago
Blogu ya Wananchi
3 years ago
Mwanaspotimwanzo
Kisa Simba, Yanga yamsimamisha mwanasheria wao
4 years ago
Mwananchimwanzo
Magufuli awatuliza wabunge nafasi za uwaziri
4 years ago
JESTINA GEORGE
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
5 years ago
LUKAZA
Premier Bet waja kivingine na Footbal Jackpot King na Cash Out
5 years ago
Chadema Blog
Hotuba ya Lissu; azungumzia kukoma Ubunge, atangaza hatua zinazofuata
5 years ago
Masama Blog
Canon IR-2525 Treiber Drucker Download
6 years ago
EMMANUEL SHILATU
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku
6 years ago
JUMA MTANDA
MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA !
6 years ago
AUDIFACE JACKSON BLOGSPOT
6 years ago
BongoClan™
PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA HOMETHEATER KUTOKA BONGODECO,PIGA 0658184797 / 0752184797
6 years ago
HANDENI KWETU
Muriya: Makazi yetu Oman ni fursa za kiuchumi kwa watu wote
6 years ago
Sports & Entertainment Blog
Huu ndio mpira utakaotumika Kombe la Dunia 2018
7 years ago
PropertyFinder.co.tz - Tanzania property and accommodation directory | Listings from LICENSED real estate agents (zamani TZadverts.com)
Shop To Let located at corner Congo and Muhoro St. Kariakoo. (USD 0)
7 years ago
dj sek
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI
8 years ago
Mbeya Yetu
TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI
8 years ago
JANJARUKA
KAHABA MJAMZITO ANASWA AKILIWA URODA NA MCHUNGAJI
8 years ago
Raia Mwema | Gazeti la Tanzania lenye habari na makala mbalimbali
HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
Mwanzo - BBC Swahili
JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Home
Show 5
Show All
Popular Posts
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2012 HAYA HAPA
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2012 uliofanyika...
WANACHAMA WA FREEMASON TANZANIA HAWA HAPA
Sir Andy Chande akiwa na wenzake wakipanda Miti jijini Tanga kama moja ya shughuli zao za kijamii Tanzania ina wanachama hai...
PICHA ZA NGONO TANZANIA ZINAHAMASISHWA NA MASTAA WA BONGO?.
Kadri siku zinavyozidi kwenda vinaibuka vyanzo kibao vinavyosababisha kushamiri kwa ngono za wazi mbele ya maelfu ya wananchini wa T...
Hizi hapa Staili mbalimbali za Mapenzi
Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mim...
Picha hizi za Wema Sepetu akipata Penzi Moto la Diamond ndio zinakimbiza Instagram na Mitandao Yote
Dayum ! Wema Sepetu is showing off a new bald look. Wema Sepetu with her One & Only Naseeb Abdul ‘Diamond Platnum...
© Copyright
EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Post a Comment