Kibaka jina halikufahamika jana alipokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira huko Kigogo Sambusa, mto Msimbazi baada ya kusadikiwa ameiba deki. |
Askari wa usalama barabaran akijaribu kuokoa maisha ya kijana huyo kwa kumpeleka kituo cha polisi lakini haikuwezekana kutokana na wananchi kuwa na hasira na kumzidi nguvu Askari huyo. |
Kijana huyo akiwa amejificha chini ya mtaro kuokoa maisha yake. |
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia tukiom hilo...Picha na habari Kwa Hisani ya Sufiani Mafoto Blog |
Post a Comment