Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja- Adaiwa kuishambulia Kamati Kuu ya CHADEMA kwa kuyapinga maamuzi ya Kamati hiyo; adaiwa pia kutaka kuuaminisha umma kuwa kuna "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Family"
Endelea kuwa na NDGSHILATU BLOG kwa taarifa zaidi ....


Post a Comment