Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWSSSS ... MPASUKO MKALI KWA WANA CHADEMA VYUONI ... KATIBU MKUU WA CHADEMA NA WANACHAMA 92 WAJIUNGA CCM

KADI ZA CHADEMA ZIKIWA CHINI BAADA YA KURUDISHWA NA WANACHAMA
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA leo kimepata pigo jipya baada ya kupoteza wanachama wake 92 wakiongozwa na katibu wao ndugu Simon Mpandalume...

Mdau wetu toka Dodoma ametuarifu kuwa wanachama hao wamefikia maamuzi ya kurudisha kadi za CHADEMA na kujiunga na CCM kutokana na kukerwa na hatua ya chama hicho kumvua Zitto Kabwe nafasi zote uongozi .
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top