Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na
Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya
ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda
kuhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki(Photos by Freddy Maro)
Post a Comment