Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HIZI HAPA KAULI ZA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA JUU YA SAKATA LA ZITTO KABWE



Dr. Wilbroad Wilbroad   (pichani) " hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamaliza kwa mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"

" waraka huo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti ya serikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi zao


" Edwin Mtei" haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo uliotungwa ili kutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa hiki au kile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe amefanya hivi. Lengo kutuvuruga"

Mabere Marando" andishi hili ni feki. Nimeliangalia andishi lote. Nimejiridhisha kwamba limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top