Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini
katika Kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi,
marehemu Dkt. Sengondo Mvungi, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Kibamba Msakuzi, jijini Dar es Salaam,
leo mchana kwa ajili ya kuifariji familia ya marehemu na kutoa mkono wa
pole. Mwili wa marehemu unatarajia kuwasili nchini kesho ukitokea nchini
Afrika ya Kusini. Picha na OMR
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
Sh bilioni 20 zakusanywa treni ya SGR8 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment