Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA DAR NA VITONGOJI VYAKE WAJITOKEZA KWA WINGI KWAAJILI YA KUPIGA PICHA NA KOMBE LA DUNIA






Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakiwa katika mstari kwaajili ya kuelekea sehemu ya Kupiga picha na Kombe la Dunia katika Uwanja wa Taifa uliopo Wilayani Temeke Jijini Dar leo


Wakazi wa jiji La Dar wakiwa kwenye mstari tayari kwenda kupiga picha na kombe la Dunia lililopo jijini Dar leo katika uwanja wa taifa


Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa ndani ya eneo la kupiga picha na kombe la dunia



Baadhi ya Raia wa Nchi za Nje wakiwa katika eneo la Kupiga picha na kombe la Taifa katika uwanja wa Taifa Muda huu



Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar wakiwa katika foleni kwaajili ya kusubiri Picha zao ambazo wamepiga na kombe la Dunia muda huu katika uwanja wa Taifa


Kijana mdogo ambaye jina lake halikupatika mara moja akiwa katika eneo la Kupiga picha na Kombe la Dunia mara baada ya kuingia ndani ya Eneo la Kupigia Picha Muda huu




 Hii ndio sehemu moja wapo ya timu nzima inayohusika na kupiga picha


Na Kina sie tulipata nafasi ya kupiga picha na Kombe la Dunia lililopo uwanja wa Taifa Muda huu kwaajili ya wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji vyake kuweza kupata nafasi ya Kupiga nalo picha




Snura akiwa na kikosi chake wakitoa burudani katika uwanja wa taifa muda huu kwa wakazi wa jiji na vitongoji vyake waliofika katika uwanja wa taifa kwaajili ya kupiga picha na kombe la dunia lililopo nchini Tanzania leo


Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji vyake wakifuatilia burudani inayotolewa na Wasanii mbalimbali katika uwanja wa Taifa Muda huu
 
Credit: Lukaza blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top