Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA YA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI ZAIDI YA WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI WILAYA YA MVOMERO MKOANI MOROGORO.

Mkazi wa Kigugu kata ya Hembeti, Bakari Kabua (54) akiuguza jeraha la kupigwa risasi eneo la mdomoni katika wodi ya majeruhi ya wanaume hospitali teule ya wilaya ya Mvomero baada ya kuzuka kwa vurugu zilizohusisha wakulima na wafugaji huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mmoja wa wafugaji kulisha mifugo katika shamaba la wakulima katika mashamba
yaliyopo Mkindo Novemba 4 mwaka huu na kupelekea watu zaidi ya wanne kupoteza maisha na wengine 39 kujeruhiwa kwa risasi katika mapigano ya ana kwa ana mkoani Morogoro.
Huyu ni mmoja wa kijana akiingizwa katika wodi ya wanaume ya hospitali hiyo baada ya kujeruhiwa kwa risasi.
Kundi la vijana wenye mishale na upindi wakiwa tayari kwa kujibu mashambulizi dhidi ya wafugaji, hapa ni kijiji cha Mkindo.
 
 

Nesi wa Hospitali teule ya wilaya ya Mvomero Getruda Chambo kulia akishirikiana na mwenzake kumhudumia mmoja kati ya 39 aliyepigwa risasi baada ya kutokea vurugu za wakulima a wafugaji katika kata ya Hembeti wilayai humo na kusababisha vifo vya zaidi ya mtu mmoja kufariki dunia kwa kupigwa na risasi mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top