Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TCRA YATIMIZA MIAKA 10


ta_62b99.jpg
pichani ni kaimu mkuu wa mkoa wa Arusha na dc wa Monduli Jowika Kasunga akifungua semina ya siku moja ya maazimisho ya miaka 10 ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania jijini Arusha Jana kwenye hotel ya Naura springs.
tb_98c27.jpg
Meneja wa kanda ya kaskazini injinia Aneth Matindi akitoa akisoma taarifa ya mamlaka hiyo mbele ya waalikwa walioshiriki semina hiyo iliyoenda sambamba na maadhimisho ya miaka kumi ya mamlaka hiyo jana kwenye hotel ya naura springs jijini Arusha.
tc_ad84d.jpg
Picha ya pamoja ya wadau wa mawasikliano wakiwa na mgeni rasmi dc Jowika kasunga na Meneja wa mamlaka hiyo kasnda ya kaskazini injinia Aneth Matindi(picha zpte na mahmoud ahmad arusha.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top