Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiwa amepiga magoti kama
ishara ya unyenyekevu huku akiwa amewekewa mikono na viongozi kutoka
madhehebu mbalimbali waliokuwa wakimwombea ofisini kwake.
Baadhi
ya viongozi wa madhehebu mbalimbali wakisaini kitabu cha wageni kwenye
ofisi ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kabla ya
kuanza kwa kikao chao. Viongozi hao walifika kwa ajili ya kumpongeza
Waziri Muhongo kwa kazi nzuri ikiwa ni pamoja na kumfanyia maombi
maalumu.
Viongozi
kutoka madhehebu mbalimbali wakiendelea kubadilishana mawazo mara baada
ya kumaliza kikao chao na Waziri. Aliyesimama ni Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiagana na baadhi ya
viongozi wa madhehebu mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa kikao.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa sita kutoka kushoto)
na Naibu Katibu Mkuu wa Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava ( wa
pili kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka
madhehebu mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa kikao.
Na Michuzi blog
Post a Comment