Msemaji
wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dorina makaya akiongea na waandishi wa
habari(hawapo pichani) kuhusu mikakati ya Wizara katika kukabiliana na
tatizo la ujangili nchini ikiwa ni pamoja na kushirikisha wadau
mbalimbali katika harakati hizo, wakati wa mkutano uliofanyika katika
ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa. Mwanaharakati
wa kutetea haki za wanyama nchini Mchungaji Clement aloyce akiongea na
waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa wananchi
kushiriki katika uhifadhi wa wanyama pori, hasa tembo ambao wapo katika
hatari kutokana na ujangili unaofanywa dhidi ya wanyama hao, wakati wa
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini
Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Wanyama Pori Mkuu toka Wizara ya
Maliasili na Utalii Bw. John Muya.Picha na Eliphace Marwa-Maelezo
Loading...
Post a Comment