Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam,waliokaa kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw.Assah Mwambene na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga(aliyekaa) katika studio ya TBC Taifa

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Media Bw. Jack Zhou akimpa zawadi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni
na Michezo Bi. Sihaba Nkinga, wakati alipotembelea Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC) leo Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na wajumbe waliohudhuria ziara hiyo leo na kuwataka kuendelea kusimamia na kuboresha utendaji kazi wa shirika hilo

Post a Comment