Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KINANA AZIDI KUISAFISHA CHADEMA MBEYA ... VIJANA KIBAO WAKABIDHI KADI ZA CHADEMA KWA KINANA


Kijana Frank Robert Mwapololo ambaye anafanya shughuli za uchimbaji madini katika kundi la wachimbaji wadogo akirejesha kadi ya upinzani kwa Katibu Mkuu baada ya Katibu Mkuu kutembelea kituo cha mafunzo cha wachimbaji wadogo cha Matundasi na kufanya mazungumzo na wachimbaji hao ambao walitoa malalamiko yao juu ya gharama za leseni,riba ya mkopo na utaratibu mzima wa kupata mkopo ni mgumu kwa hasa kwa mtu anayeishi vijijini pamoja na ukosefu wa vifaa vya kuchimbia.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top