Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisikiliza
malalamiko ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo kikuu cha Mount Meru
ambao alimfuata Mh Lowassa nyumbani kwake Monduli kumpa kilio chao cha
kucheleweshewa mikopo ya masomo na kuwafanya kuwafanya kutokujua hatima
yao.
on Monday, December 30, 2013
Post a Comment