Mkurugenzi
wa Kampuni ya Ikolo Investment,Maggid Mjengwa akizungumza na wadau
mbalimbali waliohudhulia kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Kitabu cha
"Simulizi za Mzee Mandela" kilichoandikwa na Maggid Mjengwa
mwenyewe.hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Makumbusho
ya Taifa,jijini Dar es Salaam.
Mgeni
Rasmi Kwenye Uzinduzi huo,Ndugu Mobhare Matinyi akisisitiza jambo mbele
ya wadau mbali mbali waliohudhulia kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa
Kitabu cha "Simulizi za Mzee Mandela" kilichoandikwa na Maggid
Mjengwa,hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Makumbusho
ya Taifa,jijini Dar es Salaam.
Wadau wakinunua vitabu hivyo vya "Simulizi za Mzee Mandela" mara baada ya uzinduzi wake.
Post a Comment