Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya,
Dr. Mary Mwanjelwa(CCM), akimpatia zawadi mke wa Mbunge wa Jimbo la
Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi(Chadema).
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa na Mbunge wa Jmbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi(SUGU).
Dr. Mary Mwanjelwa siku ya ubatizo wa
Mtoto Shasa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini
(Chadema) katikati, mtoto akiwa amebebwa na mama yake Mbeya Mjini.
Tufurahi pamoja...
Sote ni ndugu....
Post a Comment