MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari,
VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe, Benjamin Joseph, alipotoa
vyeti kwa wahitimu wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote
za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, mwishoni mwa semina hiyo, leo
Desemba 19, 2013, katika ukumbi wa Hioteli ya Road View, nje kidogo ya
mji wa Morogoro. Wengine kutoka wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM,
wilaya ya Kinondoni Salum Madenge na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi
wilaya hiyo, Charles Mgonja. Jumla ya wahitimu 31 walitunukiwa vyeti
baada ya kuhitimu semina hiyo. Picha na Bashir Nkoromo
Loading...
Home » Unlabelled » MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, afunga semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam
Post a Comment