Emmanuel John akishangila kwa pamoja na wahitimu wengineo wa kitivo cha ustawi wa jamii mara baada ya mgeni rasmi kuwatunuku shahada zao. Jumla ya wahitimu 1,140 walihitimu mnamo Des 6, 2013.
Emmanuel John akiwa pamoja na wahitimu wenzake katika matukio tofauti tofauti. Kuishi na watu vyema ni kipaji, baraka na siri ya mafanikio.
Mwisho wa siku Mdau Emmanuel John alienda kumuombea dua Baba yake Mzazi aitwaye John Stephen ambaye alitoa mchango kubwa wa mali na mawazo mpaka akaweza kuhitimu shahada yake. Baba yake mzazi alifariki Dunia Julai 23, 2013 na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wengineo kwenye picha ni Mama mzazi (kulia kwa Emmanuel) pamoja na familia nzima.
Post a Comment