Mwezeshaji
kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa, Bi. Naima
Mrisho akifafanua utekelezaji wa Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa
katika mkoa wa Shinyanga, leo.
Baadhi
ya Wawezeshaji wa mafunzo ya Mpango wa kujiandaa kukabili Maafa
Mkoani Shinyanga kutoka ofisi ya Waziri Mkuu- Idara ya Uratibu wa Maafa,
wakifuatilia mafunzo hayo yanayoendelea mkoani Shinyanga leo, (wa
kwanza) ni Mhandisi, Fanuel Karugendo na (wa pili) Mchumi, Magreth
Sembuyagi.
Baadhi
ya Washiriki kutoka vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani
Shinyanga wakifuatilia mafunzo ya Mpango wa kujiandaa kukabili Maafa
Mkoani Shinyanga leo, (wa kwanza) ni Kaimu Kamanda kikosi 516 KJ,
Gabriel Nzunda na (wa pili) ni Mkuu wa Polisi wa Wilaya Shinyanga,
Richard Ngede.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment