Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na kumrekebisha tai mbunge wa
Monduli Mhe. Edward Lowassa ambaye juzi alinusurika katika ajali ya
ndege baada ya ndege aliyokuwa akisafiria inayomilikiwa na Shirika la
Ndege ya Precision kupasuka matairi yote ya nyuma wakati ikitua katika
uwanja wa ndege wa mjini Arusha. Rais Kikwete alikuwa Monduli Mkoani
Arusha kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi la Wananchi wa
Tanzania katika chuo cha jeshi Monduli.
Ndege
ya Shirika la Ndege la Precion Air iliyopasuka magurudumu manne ya
nyuma wakati ikitua uwanja wa KIA jijini Kilimanjaro ambapo abiria 37 na
wafanyakzi 4 walinusurika kifo akiwemo Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa
Post a Comment