Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA WAFUMWA WAKITETA KIAINA IKULU


 


 



 
 
UMOJA WETU NDIO NGAO YETU, UMOJA WETU NDIO ALAMA YA USHINDI TANGU 1961-2013.(MIAKA 52 YA UHURU WETU)

BADO SISI NI WAMOJA NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA KWA MASLAHI YA TAIFA NA VIZAZI VIJAVYO.

Kama taifa tuna kila sababu ya kujivunia Amani, Mshikamano, na Utulivu vitu ambavyo ni tunu pekee tuliyorithi kwa waasisi wa taifa letu.

Kwa sasa kila Mtanzania lazima awajibike na kutimiza wajibu wake ili Taifa lizidi kusonga mbele na kuwashinda maadui zetu Ujinga, Maradhi na Umasikini.

Kwa pamoja lazima tumuunge mkono Mh Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete katika jitihada zake mbali mbali za kuliletea taifa letu maendeleo makubwa na ustawi wa kijamii.

Na pia lazima tukiri kwa dhati toka moyoni kwamba Mh Rais ameitangaza vyema Tanzania katika medani ya kimataifa na kwa sasa tumepata heshima kubwa kama taifa na kuaminika katika uso wa kimataifa (Hongera sana Mh Rais)

Pia kama taifa lazima tuendelee kujivunia rasilimali watu tuliyonayo na tuitumie vyema katika kuleta manufaa kwa taifa na hasa nguvu kazi ya VIJANA WA TAIFA LETU.

BADO SISI NI WAMOJA NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA KWA MASLAHI YA TAIFA NA VIZAZI VIJAVYO. KUTOKA UKURASA WA MHE,
Lowassa Ngoyai Edward

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top