Redds
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi ikiwa
ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima
Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , ambapo
alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano,
Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na
Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania na kupokelewa na Mama Mkuu
wa Kituo hicho, Sista Flora Maria Chuma ( mwenye kutabasabu ) Desemba
25, mwaka huu walipotembelea kwa ajili ya kutoa zawadi ya vyakula vya
aina mbalimbali ikiwa ni mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo.
Redds
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kulia) akimkabidhi kopo la
maziwa Mama Mkuu wa Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha
Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro ,Sista Flora Maria Chuma (
kushoto) Desemba 25, mwaka huu walipotembelea kutoa zawadi ya vyakula
vya aina mbalimbali kwa Kituo hicho ikiwa ni mpango wa kusaidia makundi
ya aina hiyo akiambatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania
mshindi wa tano, Elizabeth Perty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013,
wazazi wake na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania.
Redds
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akiwa amempataka
mikononi mtoto yatima Happiness, akiwa na warembo wengine wawili, Miss
Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perrty, ( kulia) na mwezake Sabra
Islam Miss Morogoro 2013, na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania,
akiwemo Mkurugenzi Hashim Lundega, wakisikiliza maelezo ya Mama Mkuu
wa wa Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi
wa Maria wa Morogoro ,Sista Flora Maria Chuma ( hayupo pichani )
,Desemba 25, mwaka huu walipotembelea na kutoa zawadi ya vyakula vya
aina mbalimbali kwa Kituo hicho siku ya sikukuu ya Christimas ikiwa ni
mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo.
Redds
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akiwa amempataka
mikononi mtoto yatima Happiness, alipoteembelea Kituo cha kuleta watoto
yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , Desemba
25, mwaka huu walipotembelea na kutoa zawadi ya vyakula vya aina
mbalimbali kwa Kituo hicho siku ya sikukuu ya Christimas ikiwa ni
mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo, pia alifuatana na
warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth
Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa
juu wa Kamati ya Miss Tanzania .
Redds
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akiwa na warembo
wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perty, na
Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa juu wa
Kamati ya Miss Tanzania, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mama Mkuu wa wa
Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa
Maria wa Morogoro ,Sista Flora Maria Chuma ( kulia) Desemba 25, mwaka
huu , walipotembelea na kutoa zawadi ya vyakula vya aina mbalimbali kwa
Kituo hicho ikiwa ni mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akisaini kitabu cha wageni.
Redds
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akigawa zawadi za vyakula vya
aina mbalimbali kwa baadhi ya watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha
Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , Desemba 25,
mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kusaidia watoto wa aina hiyo , akiwa
ameambatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano,
Elizabeth Perty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake pamoja
na Kamati ya Miss Tanzania.Picha na John Nditi.
Post a Comment