|
Mamia
ya wakazi wa wilaya ya Handeni, kutoka katika vijiji vya
Kwamsisi,Kwachaga, Kwamkonga, Kwamsala na vijiji vinginevyo wakiandamana
kuelekea katika Uwanja wa Azamio ilikofanyika Tamasha la Utamaduni
Handeni Mwaka 2013 ilikuwa ni noumaa Sana |
|
Baadhi
ya wananchi kutoka katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Handeni
wakiandamana kuelekea katika viwanja vya Azimio, kuhudhuria msimu wa
Kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni Kwetu 2013, Tumethubutu na
kufanikiwa tunasonga mbele... |
|
MC-Mtata,
Mwani De Omar Nyangasa alifanya yake na kuhakikisha msimu wa kwanza wa
Tamasha la Utamaduni Handeni linaenda kama lilivyopangwa, Handeni
Hoyeeee |
|
Ukisusa Wenzio
wala...Mkuu wa Wilaya ya Handeni Muhingo Rweyemamu "Bosi wangu"
akiwasili katika Viwanja vya Azimio kuzindua msimu wa Kwanza wa Tamasha
la Utamaduni Handeni, ilikuwa ni mbayaaaaaa kwa akina fulani |
|
Dkt. Khalfani Haula, Mkurugenzi wa Handeni anawasalimu...Hamjambo Handeni!! |
|
huyu ndiye Baba mwenye Nyumba, Mkurugenzi wa Mji wa Handeni, Thomas Mzinga |
|
OCD wa Handeni alikuwepo |
|
Hawa ni wazee wa Kazi, Azimio Jazz Band....Chezea Mayenuu!! |
|
huyu naye na Mashuka yake kama Maasai...mwanaokalandima, Machenje wa fataki alifanya yake kikwetu kwetu |
|
Mtu Nyomi Sana |
|
Nasema msimu wa kwanza Tamasha la utamaduni Handeni mtu Nyomi sana |
|
Ohoo unashangaa nini sasa?? huu ndio utamaduni wenyeywe kutoka kwamsisi |
|
Twende kazi ni ngoma za asili kwa kwenda mbele, hamna Bongo fleva wala Rhumba.....hatariiiiii |
|
Mzee wa Kijiji...Madini iliyopbaki hapa Handeni kwetu |
|
Funga kibwebwe tusakate sasa |
on Monday, December 16, 2013
Post a Comment