Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo jipya
la Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar na Idara ya Mpiga Chapa Mkuu
wa Serikali, huko Maruhubi Mjini Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra
za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) ni Waziri Ofisi ya Makamo
wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Dr. Aboud Sheikh Rajab,akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) alipotembelea jengo jipya la kiwanda cha uchapaji,
Maruhubi jana,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu
wa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Dr. Aboud Sheikh Rajab,kuhusu
mashine mpya zilizonunuliwa na idara ya uchapaji,wakati alipotembelea
kuangalia mashine kuona utendaji wake kazi,baada ya kufanya unguzi
rasmi,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Kanda wa Kampuni ya MFI DOCUMENT SOLUTION LTD, Rama Subramanian,ikiwa ndio wataalam wa mshine za uchapishaji,alipotembela na kuona zinavyofanyakazi,wakati
wa ufunguzi wa jengo jipya la kiwanda hicho,ikiwa ni shamra shamra za
Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa mashine
ya CTP,ambayo inatoa picha kwa kutumia Plat,Mohamed Abass Rajab,(wa
tatu kushoto) wakati wa ufunguzi wa jengo jipya la kiwanda cha Uchapaji
cha Zanzibar jana,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment