WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/12/2013.
[Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Kigoma naTabora]:
|
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi
vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani
na Tanga]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kaskazini)]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vya
jua
|
[Mikoa ya Ruvuma na
Morogoro (Kusini) ]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo
machache na vipindi vya jua
|
KATIKA ZIWA VICTORIA HUSUSANI
MIKOA YA KAGERA NA MWANZA.
VIPINDI VYA MVUA
KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO NA
MANYARA,KIGOMA,TABORA, KAGERA, MARA MWANZA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
17°C
|
12:21
|
12:35
|
D'SALAAM
|
32°C
|
23°C
|
12:02
|
12:32
|
DODOMA
|
32°C
|
19°C
|
12:18
|
12:44
|
KIGOMA
|
27°C
|
21°C
|
12:44
|
01:06
|
MBEYA
|
26°C
|
12°C
|
12:22
|
12:58
|
MWANZA
|
28°C
|
21°C
|
12:36
|
12:48
|
TABORA
|
28°C
|
19°C
|
12:32
|
12:54
|
TANGA |
31°C
|
23°C
|
12:07
|
12:29
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
22°C
|
12:02
|
12:32
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa
kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
yote .
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
13/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/12/2013.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Post a Comment