Washitakiwa
hao ni mwalimu Joel Mwakyusa (37) mkazi wa Kawajense aliyehukumiwa
kifungo cha miaka 255 kwa kupatikana na makosa 40 ya wizi wa fedha.
Mwingine ni mwalimu mkuu wa shule hiyo, Lenatus Ngalo (50) mkazi wa
Nsemlwa aliyefungwa 148 kwa kupatikana na hatia ya makosa 38 na mwalimu
Aliyefungwa mwingine ni mfanyabiashara Fredilik Mlenje (50) mkazi wa Nsemulwa ambaye akaunti yake ilitumika kuiba fedha hizo.
Washitakiwa hao walidaiwa kutenda kosa hilo mwaka 2009 kwa kugushi nyaraka zilizowawezesha kuiba fedha hizo.
Hakimu Mkazi Mfawidhi Chiganga Ntengwa aliwataka washitakiwa watakapomaliza kifungo wote kwa pamoja warejeshe fedha hizo.
Chanzo - Mtanzania


Post a Comment