Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada
ya ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu la Jimbo la Arusha
iliyofanyika mjini Arusha leo Desemba 30,2013.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika Jubilei hiyo.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Post a Comment