Waziri
wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akikata utepe wakati
akifungu Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto
kiliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mdhamini
wa kitengo Shirikishi Afya ya Mzazi na Mtoto Dkt. Ali Omar Ali
akimfahamisha kitu Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan
Shaaban alipokua akikagua jengo hilo mara baada ya kulifungua huko
Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri
wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akiwahutubia wageni
walikwa katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya
ya mama na mtoto liliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
ya Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Post a Comment