Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya
Migombani Mjini Unguja leo,Rais wa Comoro alifika nchini kushiriki
katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake
kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya
Migombani Mjini Unguja leo,Rais wa Comoro alifika nchini kushiriki
katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake
kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya
Migombani Mjini Unguja leo,Rais wa Comoro alifika nchini kushiriki
katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake
kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,baada ya mazungumzo yao
alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais wa Comoro alifika
nchini kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment