Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali
walioshiriki,Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya
Viungo, yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya
Mjini Unguja.
Wanavikundi vya mazoezi ya Viungo wa Zone A,wakiwa
katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi
mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa
Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Mazizini Beach Exercise Group,hawakuwa
nyuma katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia
Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini
Unguja.
Kikundi cha Training & Fitness Obama Club,wakiwa
katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi
mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa
Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Mchezo wa Judo,wakiwa katika Matembezi ya
Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali
wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia
Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Wanamichezo wa rika tofauti,waliobeba bango lenye
ujumbe,"MAZOEZI HAYANA RIKA WALA JINSIA",wakiwa katika Matembezi ya
Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali
wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia
Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Kata Presha Exercise cha Ngazimia,wakiwa
katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi
mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa
Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Wanavikundi vya mazoezi ya Viungo wa Zone D,wakiwemi
Amani Exercise Club Zanzibar,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la
5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali
wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia
Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha mazoezi Hatu Exercise Club cha
Kikwajuni,akiwemo Mbunge wa Jimbo hilo Hamad Masauni,kikiwa katika
Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi
mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa
Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Barssband cha Mafunzo kikiwa mbele ya
Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya
Viungo,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali
wakishiriki,matembezi hayo yameanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa
Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment