Wanamuziki
wa bendi ya Fm Academia, wakishambulia jukwaa kwa shoo kali ya pamoja
wakati wa onesho lao maalum la kufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka
mpya wa 2014, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Business Park jana usiku.
Mashabiki na wapenzi wa bendi hiyo, wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea jukwaani.
furaha ya kuukaribisha mwaka....
Wanenguaji wa kike wa bendi hiyo wakipumzika.....
Watangazaji wa Televisheni ya Taifa TBC, ambao walikuwa Live katika ukumbi huo sambamba na Fm Academi kuukaribisha mwaka mpya.
Mashabiki....
Wanamuziki wa Fm, wakishambulia jukwaa.
credit: Sufiani mafoto blog
Post a Comment