NDGSHILATU BLOG inapenda kuwatakia Watu wote kwa ujumla popote pale walipo HERI YA MWAKA MPYA 2014. Nakutakia miezi 12 ya furaha, wiki 52 za Baraka, siku 366 za Mafanikio, Masaa 8784 ya Afya tele, Dakika 527040 za Amani, na sekunde 31622400 za Upendo.
Kwa namna ya kipekee kabisa, NDGSHILATU BLOG itakuletea matukio na habari za kipekee zilizojili MWAKA 2013 ulioisha jana.
HERI YA MWAKA MPYA 2014
HAPPY NEW YEAR 2014
Post a Comment