MAJI YA MAFURIKO YAKIPITA KWA KASI KANDO YA DARAJA LA MTO MAGOLE WILAYA YA KILOSA NA KUFANYA MATUMIZI YA BARABARA YA DODOMA-MOROGORO KUSHINDWA KUTUMIKA KUTOKANA NA MAFURIKO KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA YALIYOTOKANA NA MVUAKUBWA KUNYESHA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA HIYO MKOANI MOROGORO NA KUSABABISHA MABASI YA ABIRIA NA MALORI KUSHINDWA KUSAFIRI NA KULAZIMIKA KUZUNGUKA BARABARA YA MELELA, KIMAMBA KISHA DUMILA KUENDELEA NA SAFARI YA DODOMA LEO HUKU MAGARI MENGINE YAKIWA YAMEKWAMA.MAELEZO NA JUMA MTANDA
on Thursday, January 23, 2014
Post a Comment