Askari
wa zamani wanaoigiza gwaride la enzi za ukoloni, 'Tarabush' wakipita
mbele ya jukwaa kuu na kuonyesha jinsi askari hao walivyokuwa wakicheza
gwaride hilo, wakati waa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Amani mjini
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed
Ali Shein, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili
kwenye Uwanja wa Amani katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed
Ali Shein, akikagua gwaride maalum la sherehe za maadhimisho ya miaka
50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilal, wakisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi
na usalama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Amani, kwa ajili ya
kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, mjini yaliyofanyika leo.
Wimbo wa Taifa....
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na baadhi ya viongozi waalikwa katika
sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,
wakati alipokuwa akiwasili uwanja wa Amani leo mchana.
Viongozi
wa Serikali na viongozi waalikwa, wakisimama wakati wimbo wa Taifa
ukipigwa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar leo.
Watoto
wa halaiki wakionyesha umahiri wa kupanda Baiskeli, ambapo jumla ya
watot 10 waliweza kupanda baiskeli hiyo. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Wakiaga kutoka uwanjani hapo baada ya shoo yao...
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo.....
Kifaru kikipita mbele ya jukwaa kuu na kutoa heshima....
Burudani....
Askari
wa zamani wanaoigiza gwaride la enzi za ukoloni, 'Tarabush' wakipita
mbele ya jukwaa kuu na kuonyesha jinsi askari hao walivyokuwa wakicheza
gwaride hilo, wakati waa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Amani mjini
Zanzibar.
Mbwa akionyesha namna anavyoweza kumdibiti muhalifu...
Paredi....
Mbwa akimdhibiti mhalifu
Askari wa JWTZ wakipita mbele ya jukwaa kuu
Wakitoa heshima.....
'BABA
KAENDA KAZINI', Ni kazi na dawa na hasa mzuka ukipanda, huyu si
mwingine bali ni Ofsa habari wa Jeshi la Polisi, Mhina, akiwa bize
kunasa picha za matukio katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani
leo.
Askari wastaafu wakipita mbele ya jukwaa kuu.....
Jeshimaaaaa toaaaaaa........
Heshimaaaaaaa toaaaaaaaa.......
Heshimaaaa toaaaaaaa, Nani mkali kati ya hao wote.........Nahitaji Komenti yako
Askari wa FFU wa kike wakipita mbele ya jukwaa kuu
Shambra shambra za miaka 50 ya Mapinduzi
Maandamano yakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe
Kijana alivunja silaa wakati wa kutoa heshima
Maandamano
Maandamano
Wageni waalikwa na wananchi
Mwenyekiti
wa Yanga, Yusuph Manji (katikati) akiwa ni mmoja kati ya wageni
waalikwa katika sherehe hiyo iliyoendelea katika viwanja vya Ikulu kwa
chakula cha mchana.
credit: Sufiani mafoto blog
Post a Comment