Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LEO NDIO LEO KATI YA MAN U NA SUNDERLAND KWENYE NUSU FAINALI YA CAPITAL ONE CUP




Man united v Sunderland - capital one cup
Mchezo huu utakuwa ni mgumu kwa Mabingwa hao wa England ambao wanatakiwa kupindua kipigo cha Bao 2-1 walichopewa na Sunderland ambayo tangu impate Meneja mpya Gus Poyet imejiimarisha kwa kutofungwa katika Mechi 4 na Juzi ilitoka nyuma kwa Bao 2-0 na kupata Sare ya Bao 2-2 na Southampton.

Wakuchunga zaidi ni hawa!!!
Kocha wa Sunderland Poyet Kocha wa Man United David MoyesBalaa leo....Moyes na Gus Poyet kukutana tena...
Mwamuzi wa mtanange huo ni LEE Mason.

VIKOSI VINATARAJIWA KUWA HIVI:
Man United (from):De Gea, Lindegaard, Rafael, Smalling, Evans, Jones, Evra, Fabio, Valencia, Fletcher, Giggs, Cleverley, Carrick, Januzaj, Young, Kagawa, Hernandez, Welbeck.
Sunderland (from):Ustari, Mannone, Pickford, Celustka, Dossena, Alonso, Bardsley, O'Shea, Brown, Diakite, Roberge, Cattermole, Cabral, Gardner, Ki, Giaccherini, Johnson, Larsson, Ba, Karlsson, Mavrias, Colback, Fletcher, Altidore, Borini.


KUMBUKA:
-Katika Nusu Fainali 3 zilizopita, Man United walikuwa nyuma au Sare baada ya Mechi ya Kwanza, kwenye Miaka ya 2006, 2009 na 2010, lakini katika hizo zote walishinda Mechi ya Marudiano na kutinga Fainali na kutwaa Kombe!

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top